Rai Kutoka Kenya: "Magufuli Adhibitiwe, Amevuka Mpaka" - Kamau

KAMAU: Magufuli adhibitiwe na EAC, amevuka mipaka!
Na WANDERI KAMAU
MNAMO Novemba 5, 1984, kinara wa ODM Raila Odinga alifahamishwa kuhusu kifo cha mamake, Bi Mary Juma ikiwa imepita muda wa miezi miwili tangu afariki.
Mary alifariki mnamo Septemba 1984, lakini Bw Odinga hakuwa na ufahamu wowote kuhusu tukio hilo kwa kuwa alikuwa akitumikia kifungo katika …