Pre-orders za kitabu bora kabisa cha "Ujasusi Ni Nini? Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa?" sasa zinapokelewa
Pre-orders za kitabu cha “Ujasusi Ni Nini? Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa?” sasa zinapokelewa. Wakati bei ya kitabu mtaani itakuwa shilingi 45,000/= wanunuzi wataofanya pre-order sio tu watalipa bei pungufu ya shilingi 35,000/= tu bali pia watapata ofa ya kulipiwa subscription ya kijarida hiki cha Barua Ya Chahali kwa MIEZI MITATU.
Kwa sasa mal…