Pongezi CDF Jen Mkunda kueleza kuhusu raia wa kigeni waliomo/walioteuliwa serikalini, Idara ya Usalama wa Taifa mjisikie aibu kwa kufeli kushughulikia tishio hilo la kiusalama
Jasusi anaweza kutamka bila shaka kuwa ni Mtanzania ambaye ameongelea mara nyingi mno kuhusu tishio kubwa la kiusalama nchini Tanzania linalotokana na raia wa kigeni kujipenyeza katika kada za uongozi.