Jana haikuwa siku nzuri kwa tunaotamani kuona Tanzania yetu ikiwa haina siasa za chuki. Lakini tatizo halikuanza jana as such, bali juzi.
Hiyo juzi, baadhi ya waungwana waliojaribu kushauri kuwa ingekuwa vema kwa Chadema kuhudhuria mkutano wa vyama vya siasa ulioanza jana huko Dodoma, walimwagiwa mvua ya matusi.
Nilisikitishwa kuona mwanahabari mmoja amb…


