Ofa Kabambe Ya Kufungia Mwaka

Pata ofa hii kabambe. Nunua “kitabu cha Kipilimba” na “Shushushu” kwa sh 25,000/= tu na upate kopi ya bure ya “Kitabu cha Jinsi Ya Kuwa Mtu Bora” (na utapatiwa bure Toleo La Pili la kitabu hicho cha “Mtu Bora” litakalochapishwa wikiendi hii ya keshokutwa)

Jumla vitabu vyote vitatu vingegharimu sh 35,000/= lakini kwa vile mtumishi wako anakujali na angependa umalize mwaka kwa furaha tele, anakurushia ofa hii adimu.

Angalizo: Kitabu cha “Shushushu” ni nakala dhahiri (hard copy), utakipata siku hiyo hiyo ukiwa Dar au ndani ya wiki moja mikoani (usisahau kumpatia wakala address ya posta). Kitabu “cha Kipilimba” na “cha Mtu Bora” ni nakala za kielektroniki (e-books) na usisahau kumpatia wakala email yako.

Endapo baruapepe kama hii kutoka kwangu zinakuzingua, JIONDOE HAPA.

Ndimi mtumishi wako,

Evarist Chahali