Nini kimetokea? Jana, baadhi ya vyombo vya habari vilimnukuu waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari, Mheshimiwa Nape Nnauye akielezea kuhusu huduma ya kisasa ya intaneti ya kasi ya Starlink inayomilikiwa na mfanyabiashara tajiri zaidi duniani, Elon Musk.
Mheshimiwa Nape amesemaje?