Ni fahari kujua unaaminiwa: poleni kwa "mliokamatwa na Jasusi" jana kwenye April Fools' Day jana, ndio siku pekee Jasusi anaruhusiwa kuwalisha watu matango pori 😁
Jana ilikuwa April Fools’ Day, kwa Kiswahili wanasema Siku ya Wajinga Duniani, japo neno “wajinga” sio sahihi sana.
Jana hiyo Jasusi aliweka habari moja hapa kwenye kijarida, na nyingine huko Twita.
Hii
Na twiti hii
Jasusi anawaomba radhi wote walioamini habari hizo ambazo hazikuwa na ukweli wowote.
Kadhalika, Jasusi anaamini kuwa waliotajwa -Dkt Kipilimba,…