Baada ya Mtumishi Wako kumuomba wakili msomi Peter Kibatala msaidie kisheria mama aliyehukumiwa kifungo cha miaka 22 jela kwa kukutwa na nyama ya swala huko Iringa, mwanasheria huyo aliomba apatiwe taarifa kamili za mhusika.
Mtumishi wako aliwasilisha ombi hilo kwenye hapo jana lakini hadi muda huu bado hakujapatikana taarifa zozote na hilo linamkwamish…


