Mwezi mpya safu mpya ya UCHUMI ndani ya kijarida chako pendwa cha #BaruaYaChahali, wajasiriamali mwakaribishwa kutuma matangazo yatakayochapishwa bure: Episode 1 - GDP ni nini?
Mwezi mpya wa Septemba unakaribisha safu nyingine mpya ndani ya kijarida hiki pendwa cha Barua Ya Chahali. Safu hii mpya itahusu masuala ya uchumi, fedha, biashara, na vitu kama hivyo.
Pia safu hii inakaribisha wajasiriamali wanaotaka kueleza safari zao katika ujasiriamali, mafanikio na changamoto pamoja na kutangaza bure biashara zao.
Maoni, pongezi, k…