Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya Ishirini Na Nne: "Mauaji na Mapinduzi"
Hii ni riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi. Matarajio ni kwamba riwaya hizi zitapelekea kuchapishwa kwa vitabu pindi zikimalizika.
Riwaya hii ya kwanza inaitwa Mtandao. Na makala hii inakuletea sehemu ya ishirini na nne.
Ili kupata mtiririko wa riwaya hii, unashauriwa usome sehemu 23 zilizopita ambazo links zake zipo kwenye makala hii
Aprili 9, 2023 – Saa Nane Usiku