Barua Ya Chahali

Share this post
#MsaadaTutani: Msaada Wako Unahitajika Hapa
www.baruayachahali.com

#MsaadaTutani: Msaada Wako Unahitajika Hapa

Evarist Chahali
Aug 12, 2020
Share

Twitter avatar for @ChahaliEvarist Chahali @Chahali
#MsaadaTutani: Upo Arusha? Kuna dadangu mmoja ana mdogo wake (wa kiume) form six leaver, amepitia JKT ya hiari, anahitaji AJIRA YOYOTE. Sasa naamini kwa dhati kuwa miongoni mwenu kuna mdau anayeweza kusawazisha suala hili. DM me if you can help! 🙏

August 12th 2020

10 Likes

Mtumishi wako anahitaji msaada wako. Kama unaweza kusaidia basi wasiliana nami HAPA.

Thanks in advance

Ndimi mtumishi wako,

Evarist Chahali

ShareShare
TopNewCommunity

No posts

Ready for more?

© 2022 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Publish on Substack Get the app
Substack is the home for great writing