Mlo Wa Ubongo Wako Wikiendi Hii: Jinsi Ya Kujenga, Kutunza na Kuboresha Uwezo Wako Kiakili

Kila wikiendi huwa naandika “uzi Wa Twita” yaani Twitter Thread, kwa kimombo, nikiongelea ishu mbalimbali.

Sasa una fursa ya kusoma “nyuzi hizo za Twitter” pasi haja ya kuwepo Twitter. Mara baada ya kubandika uzi husika, nitabandika uzi kamili (tofauti na vipande vipande vya twiti) kwenye blogu yangu ya “Kulikoni Ughaibuni.”

Twitter avatar for @ChahaliEvarist Chahali @Chahali
Sasa unaweza kusoma baadhi ya #thread kama post nzima kwenye blogu yangu ya
chahali.com. Si kila thread itakuwa post, but most will. Enjoy 👉 #UziWaTwita (Twitter Thread) 07.03.20: Mbinu Mbalimbali Za Kujenga, Kulea Na Kuimarisha Uwezo Kiakili chahali.com/2020/03/uziwat…AImage

Karibuni sana.

Ndimi mtumishi wako,

Evarist Chahali