Mkataba wa bandari na "hili jipya la Jaji Mkuu kuongezewa muda" ni uthibitisho kuwa Katiba Mpya haitobadili chochote, tatizo ni Watanzania wenyewe, sio katiba
Kabla ya kutamani ukutane na Jasusi kwenye kona kisha umpige kabari kwa vile unahisi “amenunuliwa ili kupinga katiba mpya”, ni vema ukasikia kwanza audio hii