Mjadala wa uraia pacha Tanzania: soma makala hii ya Mh @Dullahmwinyi1 kuhusu umuhimu wa suala hilo, adhamiria kuliongelea Bungeni wakati wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje
Mbunge wa Mahonda kwa tiketi ya CCM, Mheshimiwa Abdullah Mwinyi amesema kuwa atawasilisha hoja Bungeni kuhusu suala la uraia pacha wakati wa bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Kupitia akaunti yake katika mtandao wa kijamii wa Twitter, mbunge huyo wa zamani wa Bunge la Afrika Mashariki aliandika