Mheshimiwa @zittokabwe akemea usiri unaotawala mjadala kuhusu muswada wa mabadiliko ya sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa huko Bungeni [Soma muswada huo katika makala hii]
Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Mheshimiwa Zitto Kabwe amekemea usiri unaotawala katika mjadala kuhusu mabadiliko ya sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa huko Bungeni.
Kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter, Mheshimiwa Zitto aliandika
CHANZO: Ukurasa wa Twitter wa Mheshimiwa Zitto
Wakati huohuo, kijarida cha Barua ya Chahali kimefanikiwa kupata nakala ya muswada huo ambayo hata hivyo ipo kwa Kiingereza tu bila tafsiri ya Kiswahili. Upakue hapa chini.
MENGINEYO
Kupata fursa ya kutumiwa kopi ya bure ya kitabu hiki bora kabisa kitakachoanza kuwa mtaani hivi karibuni,
fanya