Mheshimiwa @ridhiwankikwete, sikia kilio hiki cha wakazi wa "Watumishi Housing", Mkundi, Morogoro
Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete, pole na majukumu ya ujenzi wa taifa. Naomba kuwasilisha kwako ujumbe niliotumiwa na wakazi wa “Watumishi Housing” huko Mkundi, Morogoro.