Membe Kufukuzwa CCM: Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kwa Kutumia Kanuni Ya Dhana Zinazoshindana (ACH)
Somo: Kuvuliwa uanachama Bernard Membe, Waziri Wa Zamani wa Mambo ya Nje, Mbunge wa zamani, kada mkongwe na mmoja wa wana CCM walioingia "tano bora" ya kutafuta mgombea urais kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015
Key subject(s):
Bernard Kamilius Membe
John Pombe Magufuli
Jakaya Mrisho Kikwete
Modestus Kipilimba
Dhana ya kwanza: Membe "anakubal…