Maridhiano Na Vitisho Wapi Na Wapi?
Aidha Mbowe anafanya usanii kwa “kumtishia Jiwe nyau” au hayupo okay. Maana so far ni kama anajitekenya na kucheka mwenyewe. Mara MARADHIANO mara mpatanishi atakuwa Umoja wa Mataifa.
Anayemwelewa vizuri anipe darasa kidogo ila ninaanza kuhisi kuwa “Jiwe ameshapanda bei” kama ilivyokuwa kwa Lowassa 2015.
Time will tell.
Otherwise, kitabu 👇 bado kinaoatik…