Mapya yaibuka katika sakata la tuhuma dhidi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kilwa Hanan Mohamed Bafagih, anaedaiwa kuhusika na kipigo cha kijana aliyeishia kupoteza nguvu za kiume
Zaibuka tuhuma za "mahusiano ya kinyume cha maadili"
Jana, kijarida hiki kilichapisha tuhuma dhidi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilwa Hanan Mohamed Bafagih, adaiwa kuhusika na kipigo cha kijana aliyeishia kupoteza nguvu za kiume.
Kama hukubahatika kusoma habari hiyo, bonyeza hapa chini