Mambo Ni Mengi Lakini Muda Ni Mchache

Hii Barua Ya Makamba, Kinana Ni "Defining Moment."

Tafrisi ya twiti hiyo ya mie mtumishi kwako ni hii “nimekumbana na alama hii ya reli #MwagaPombe2020, hata masaa 24 hayajapita baada ya chapisho hili zito.

Matukio haya mawili - alama ya reli na hilo chapisho - yametokea tu kwa pamoja bila kukisudiwa? Mie nadhani hapana (“nyet” kwa Kirusi).

Ndimi mtumishi,

Evarist Chahali