Mama Samia kuwaondoa wakurugenzi kadhaa wa Idara ya Usalama wa Taifa: maoni ya maafisa wa sasa na wa zamani wa taasisi hiyo, wadau wa sekta ya intelijensia na umma kwa ujumla
Kufuatia hatua ya Rais Samia Suluhu kuwaondoa wakurugenzi kadhaa wa Idara ya Usalama wa Taifa, baadhi ya maafisa wa sasa na wa zamani wa taasisi hiyo nyeti, wadau mbalimbali wa intelijensia na wananchi kwa ujumla wametoa maoni yao.
Maoni ya maafisa wa sasa wa Idara ya Usalama wa Taifa1