VIDEO: Adam Malima awa mwana-CCM wa kwanza wa ngazi za juu kusema kile wanachosema Watanzania wengi, "jadilini mkataba sio uwezo wa mwekezaji". Evarist ChahaliJul 12, 2023∙ Paid1ShareRead Barua Ya Chahali in the Substack appAvailable for iOS and AndroidGet the appMoja ya sifa za mwanasiasa na msomi mahiri, marehemu Profesa Kighoma Ali Malima, ilikuwa ni pamoja na kutohofia kusema ukweli hata kama ukweli huo ungeweza kuwakera mabosi wake. This post is for paid subscribersSubscribeAlready a paid subscriber? Sign inPreviousNext