Makala Ya Wazi: Yanayoendelea Sakata La Kinana,Makamba vs Musiba

Filamu Bado Yaendelea Nami Mtumishi Wako Naifuatilia Kwa Karibu

Kwanza niwafahamishe wanachama wa #BaruaYaChahali kuwa toleo la saba la kijarida cha #ChahaliNaTeknolojia tayari limewasili kwenye inobx zenu. Na katika azma yangu ya kuwaletea kozi ya “udukuzi wa kimaadili” (Ethical Hacking), nimewapatia nakala ya bure ya kitabu hiki muhimu.

Kitabu hiki kitawaandaa kabla ya ujio wa kozi hiyo muhimu kwenye wanachama.

Tukiachana na hilo, mtumishi wako bila kubagua kati ya wanachama na wasio wanachama nakuletea makala hii ya wazi ya mwendelezo wa sakata la kati ya makatibu wakuu wa zamani wa CCM Yusuph Makamba na Abdulrahman Kinana vs msema ovyo Musiba.

Soma waraka huu ambao ni jibu la Spika Mstaafu Pius Msekwa ambaye ni Katibu wa Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu Wastaafu wa CCM.

Alichofanywa ni kukwepa lawama kidiplomasia.

Nimalizie kijarida kwa kuwakaribisha nyote ambao hamjajiunga na uanachama wa #BaruaYaChahali. Endapo unajiskia kufanya hivyo, maelezo ni kama ifuatavyo

Uanachama kwa mwaka mzima ni sh100,00 au sh 10,000 kwa mwezi. Tuma mchango wako kwa m-pesa namba 0767632516 (jina Khadija Katule). Kwa walio nje ya Tanzania, unaweza kuchangia kwa KUBONYEZA HAPA.

Endapo unataka kujiondoa kwenye orodha ya wanaotumiwa #BaruaYaChahali BONYEZA HAPA.

Ndimi mtumishi wako,

Evarist Chahali