
Mwaka jana, Julai Mosi, niliandika makala HII kama reaction yangu kwa tamko la Mheshimiwa Zitto Kabwe kuhusu wazo la kuwa na umoja wa Makundi mbalimbali katika jamii nchini Tanzania kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao. Yaani kwa kifupi, wazo la Zitto lilikuwa “kuwa na UKAWA inayojumuisha taasisi mbalimbali licha ya vyama vya siasa.”
Kama utakavyoona kwenye m…

