Makala Ya Wazi: Jiwe Aendelea Kudukua Mawasiliano

Adukua Mawasiliano Ya Nape Na Ngeleja Na Kuyaweka Hadharani.

Tafsiri ya haraka ni kwamba Jiwe is running scared, na sasa ni kama mtu aliyechanganyikiwa. Kwa sababu, unless unamhofia mtu, huhitaji kuweka maongezi yake hadharani bali unamvaa moja kwa moja. By the way, japo CCM wote ni sawa, ninaamini Watanzania wengi hawampendi Jiwe na watakuwa wanawaunga mkono hawa akina Kinana, Makamba japo sio tu kuwa nao si wasafi bali ndio waliotuletea Jiwe.

Awali uhuni kama huo ulifanyika katika maongezi kati ya Nape na Kinana

Jinsi ya kujiunga: Uanachama kwa mwaka mzima ni sh100,00 au sh 10,000 kwa mwezi. Tuma mchango wako kwa m-pesa namba 0767632516 (jina Khadija Katule). Kwa walio nje ya Tanzania, unaweza kuchangia kwa KUBONYEZA HAPA.

Endapo unataka kuondolewa kwenye orodha ya wanaotumiwa #BaruaYaChahali JIONDOE HAPA.

Ndimi mtumishi wako,

Evarist Chahali