Makala Ya Wazi: #BaruaYaShushushu Toleo la Kumi Na Moja
Nimelazimika kuandika makala hii ya wazi ya kijarida cha #BaruaYaShushushu kwa sababu mada husika inawahusu watu wengi zaidi ya wanachama wa kijarida hiki ambacho ni kimoja ya vijarida vitano vinavyounda #BaruaYaChahali.
Mada hii inawahusu nyote, japo walengwa zaidi ni ndugu zangu wa kitengo, ndugu zangu wa Jeshi la Polisi, na taasisi nyingine za dola.
…