Hukumu ya Kesi Yangu ya Uhaini Ni Hukumu ya Kifo kwa Demokrasia ya Tanzania Na Tundu Lissu 28 Agosti 2025 Tundu Antiphas Mughwai Lissu ni mwanasheria, mwanasiasa, mwanaharakati wa kupambana na rushwa na aliyekuwa Mbunge nchini Tanzania. Yeye ni mwenyekiti wa sasa wa Chadema, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Mwaka 2017, alinusurika jaribio la ma…


