Kwaresma Njema na Ramadhan Kareem: Barua ya Chahali Inakusihi Kutumia Funga Yako Kuliombea Taifa Dhidi ya Janga la UTEKAJI na Maovu Mengine
Katika kipindi hiki muhimu cha Kwaresma kwa Wakristo na Ramadhan kwa Waislam, tunapoadhimisha nyakati hizi takatifu za toba, tafakuri, na kujitakasa, ni vema tukatafakari nafasi yetu kama jamii inayotafuta haki, amani, na utu. Wakati mamilioni ya waumini wakijinyima na kujitenga na stare…