Kama ambavyo sipendi kubughudhiwa na baruapepe kutoka kwa “watu nisiotaka mawasiliano nao,” ndivyo ambavyo nisingependa kukusumbua wewe ambaye pengine huna haja tena ya kupokea baruapepe/mawasiliano kutoka kwangu.
Ili kuondokana na kadhia hiyo ya kutumiwa baruapepe nami, BONYEZA HAPA kujiondoa kwenye orodha ya wanaotumiwa baruapepe hizo. Hii ni kwa WANAO…

