Kwa Minajili ya Kumbukumbu: Waraka Mfupi wa Twiti wa Jasusi kwa Martin Maranja
Japo Jasusi asingependa kuweka hapa suala hili dogo, lakini kuna umuhimu wa kuliweka kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo. Hasa kwa sababu lifespan ya twiti ni dakika 18 tu.
.@IAMartin_ mdogo wangu wewe ni adui wa demokrasia nchini Tanzania kama walivyo CCM. Japo unatambulika kama kada kindakindaki wa Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo, wewe si muumini wa D…