"Kutekwa" Kwa Kiongozi Wa Umoja Wa Kudai Katiba Mpya (UKUKAMTA) Ni Tukio Lililotengenezwa Kumchafua Mama Samia

Kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia, hili tukio ni la kutengenezwa.

Kwa upande mmoja limelenga kumchafua Mama Samia Suluhu, kama inavyoonekana hapa chini

Ilhali kwa upande mwingine ni mkakati wa “kiki” kwa hiyo taasisi “mpya. “

Huyo jamaa “aliyekamatwa na watu wasiojulikana” aliwahi kuhusishwa na tukio la utekaji huko nyuma

Awali “Umoja” huo ulifanya ziara hii

Uchunguzi wa haraka kwa kutumia vyanzo vya wazi (OSINT) wa alama ya reli #FreeFambo unaonyesha “traffic” kubwa kutoka Kenya kwa akaunti zinazohusishwa na taasisi moja inayofahamika kwa msimamo wake dhidi ya Mama Samia.

Uchunguzi zaidi unaendelea