Kura Ya Maoni Kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

Mtumishi wako nina taasisi binafsi ya kura za maoni, inayofahamika kama #TanzaPoll. Naamini baadhi yenu mmeshaiona huko Twitter.

Kuanzia mwezi huu Julai, taasisi hiyo itakuwa ikukuletea kura mbalimbali za maoni kuhusu uchaguzi mkuu ujao hapo mwakani.

Kwa sasa kuna kura ya maoni inayoendelea, na unakaribishwa kushiriki

Karibu ushiriki kura hiyo ya maoni HAPA

Ndimi mtumishi wako,

Evarist Chahali