Heri ya mwezi mpya wa Februari.
Jana Jasusi alibaini kitu cha kushangaza. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ilitwiti habari, picha na taarifa kuhusu mkutano kati ya Waziri Stargomena Tax na ujumbe kutoka kampuni ya “Streit Group” ya Umoja wa Falme za Kiarabu.
Lakini baadaye twiti hiyo ilifutwa, japo Jasusi aliwahi kuchukua screenshot hii



