Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Tathmini fupi kuhusu ushauri kwa Mama @SuluhuSamia kuwa "awapuuze Watanzania wa mtandaoni"
Jeuri ya CCM inatokana na ukweli kwamba mazingira yaliyowawezesha kushinda kwenye "uchafuzi" wa mwaka 2020 yanatarajiwa kubaki hivyohivyo mwaka 2025
Jana, Waziri wa Habari na TEHAMA Mheshimiwa Nape Nnauye alimshauri Rais Samia Suluhu kuwapuuza Watanzania waliopo mtandaoni “kwani ni asilimia 16 ya Watanzania wote,” na kudai kuwa “wengi wao ni Watanzania walio nje ambao hawana m…