Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Kuchelewa Kwa Toleo La Wiki Hii

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
May 20, 2019
∙ Paid
20
Share

Ndugu yangu,

Naomba kutumia fursa hii kuomba radhi kwa kuchelewa kukutumia toleo la wiki hii la #BaruaYaChahali kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Ninatarajia kukutumia toleo hilo Jumatano.

Samahani sana.

Ndimi mtumishi wako

Evarist Chahali

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture