Kozi Za Bure: JavaScript, CSS, HTML, Linux, Web Developer

All the best free online courses to take when on quarantine

Kabla ya kuwapatia links husika, napenda kuwafahamisha kuwa nimechapisha toleo la pili la kitabu cha “Jinsi Ya Kuwa Mtu Bora” kilichosheheni mbinu mbalimbali za kukufanya uwe mtu wa kipekee, kufungua nguvu ulizo nazo bila kutambua, kupata mikakati ya kuondokana na maisha usiyofurahia, kuwa mwenye furaha muda wote, nk.

Kitabu kinauzwa sh 6,000 hivi (£1.99) malipo ni kwa Visa card au hata Mastercard. Ukishakamilisha malipo, nirushie email yako nikutumie kitabu chako cha kielektroniki.

Kitabu kinapatikana HAPA

Pia hapo hapo kuna kitabu kwa wanaohitaji kuacha uvutaji wa sigara

Karibuni sana!

Twende kwenye kozi za bure. Fanya kujisajili mapema iwezekanavyo kabla kozi hizi hazijakuwa za kulipia. Nimekuchagulia kozi nazojua zinalipa pindi ukipata ujuzi japo kidogo.

JavaScript for beginners

Javascript Logo Stock Illustrations – 208 Javascript Logo Stock ...

CSS for beginners

Css Logos

HTML for beginners

Php Logo png download - 512*512 - Free Transparent Html png ...

Linux For Absolute Beginners

Linux Logo PNG, Linux Icon Free Download - Free Transparent PNG Logos

Become A Certified Web Developer From Scratch

Web developer design, vector illustration eps 10.: Royalty-free ...

Ndimi mtumishi wako,

Evarist Chahali