Kozi ya Bure ya UBONGO WA PILI (Second Brain) Ipo Hewani
Oktoba mwaka jana, Jasusi alifahamiana na Profesa mmoja Mtanzania anayefundisha chuo kikuu kimoja kikubwa barani Ulaya. Kwa sababu zilizo wazi, Jasusi anaomba kuhifadhi jina la msomi huyo.
Katika maongezi nae, Profesa alieleza jinsi anavyonufaika kwa kuwa subscriber wa vijarida vya Jasusi - Barua Ya Chahali, Blogu Ya Ujasusi na AdelPhil Online Academy.
…