Utangulizi:
Moja ya changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili ni mapungufu makubwa katika lugha hiyo kwenye tafsiri ya maneno mbalimbali ya kitaalamu. Na mapungufu hayo si ya makusudi bali yanachangiwa na ukweli kwamba utaalamu mwingi unakua kwa kasi zaidi kuliko makuzi ya lugha.
Ni kwa mantiki hiyo, hakuna tafsiri sahihi ya Kiswahili ya Open Source Int…



