Kitu Maalum kwa Wikiendi Yako | Ushauri Kuhusu Filamu Kali ya Kijasusi Unayoweza Kuangalia Wikiendi Hii
Ushauri
Kwanza samahani kwa Barua ya Chahali kutoweka habari mpya mara kwa mara. Hilo lilitokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wa kijarida hiki.
Kuna habari njema hapa. Kuanzia wikiendi hii, Barua ya Chahali itakuwa ikikuletea pendekezo za filamu moja kali inayohusina na masuala ya intelijensia hususan ujasusi.
Na kwa kuanzia, wiki hii pendekezo ni series ka…


