Kitabu bora kabisa kuhusu taaluma ya ushushushu

Mtaniwia radhi mnaokerwa na matangazo. Lakini wanasema “Sharing is caring.”

Kwa wakazi wa Dar watatumiwa siku hiyohiyo baada ya malipo ilhali kwa wakazi wa mikoani ni ndani ya wiki moja. Kwa maelezo zaidi wasiliana na wakala Khadija Katule namba 0767632516 au moja kwa moja nami kwa email evarist@disroot.org.

Karibu sana

Ndimi mtumishi wako

Evarist Chahali