Kilichosababisha MAREHEMU Milton Mailos Lupa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ilhali AMESHAFARIKI
Jana Rais Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko mbalimbali ya kiuongozi ambapo baadhi ya watendaji waliteuliwa, wengine walihamishwa huku wengine waondolewa katika nyadhifa zao.