Kijarida Kinakuletea Episode Mpya Ya #ZoomNaZu Kila Ijumaa: Mada Ya Wiki Hii Si Ya Kukosa Kwa Wazazi Wenye Watoto Wenye Vipaji Maalum Na Wale Wenye Usonji

Zoom Na Zu ni kipindi bora kabisa cha mahojiano kuhusu mada mbalimbali, kinachoendeshwa na Zuhura Yunus. Kipindi hiki cha mtandaoni huwajia kila Ijumaa. Mtumishi wako atakuwa akikurushia episode mpya kila Ijumaa. Episode ya wiki hii inahusu malezo ya watoto wenye vipaji maalum na wale wenye maradhi ya usonji (autistic). Angalia, kisha usisahau ku-subscribe.

Episodes zilizopita