Kijarida cha #ChahaliNaTeknolojia

Naomba tu kutoa taarifa kuwa jana nilituma kijarida cha #ChahaliNaTeknolojia japo nilichelewa kidogo, ilikuwa muda ya mchana kwa saa za hapa UK.

Kama hukupokea kijarida kwenye inbox yako, angalia kwenye Spam/Junk folder. Huenda email husika ipo huko maana nilituma kijarida kutoka platform nyingine (ya kawaida inaitwa Mailchimp), niliyotuma jana inaitwa Sendpulse.

Lakini kwa urahisi, unaweza pia ku-access kijarida hicho KWA KUBONYEZA HAPA.

Tukutane kesho katika #BaruaYaShushushu.

Ndimi mtumishi wako,

Evarist Chahali