Kiintelijensia: maswali muhimu na majibu yake kuhusu uchaguzi mkuu nchini Nigeria hapo kesho Februari 25
Wapiga kura katika taifa lenye watu wengi zaidi barani Afrika na leenye uchumi mkubwa zaidi wanapiga kura kumtafuta Rais mpya katika uchaguzi mkuu wa Februari 25 wa Nigeria.
Makala hii fupi ya kiintelijensia inauliza na kujibu maswali muhimu kuhusu uchaguzi huo.
Je, hali ikoje nchini Nigeria wakati nchi hiyo inapojiandaa kupiga kura?
Wagombea wakuu wa kutupiwa jicho ni akina nani?
Je, kuna hatari ya vurugu za kisiasa kuzuka karibu na uchaguzi na matokeo yanapotangazwa?
Kwa nini chaguzi hizi ni muhimu kwa Afrika Magharibu na bara zima la Afrika?