Jana katika TwitterSpace, Jasusi alieleza kuwa halitokuwa jambo la kushangaza kusikia Israeli ikiituhumu Irani kuwa ilihusika kupanga mashambulio yaliyofanywa na kikundi cha Hamas nchini Israeli na kupelekea zaidi ya vifo 700 hadi wakati makala hii inaandikwa. Na sasa imekuwa hivyo.