Jiwe Amefanya Jaribio La Kuzima Mtandao Jana, Limefanikiwa

Bad News Is Worst Is Yet To Come

Nikupe chemshabongo ya kishushushu: Angalia akaunti za Facebook, Twitter na Instagram za Vodacom, note posts zao jana, kisha tupia jicho dokezo hili: something is seriously wrong na hii taarifa ya Voda.

Baini hilo ila jibu kaa nalo, silihitaji.

Ndimi mtumishi wako,

Evarist Chahali

NB: Panapo majaliwa wiki hii nitachapisha toleo la pili la kitabu cha JINSI YA KUWA MTU BORA. Good news is, kila mnunuzi atapewa kopi ya bure ya toleo la kwanza la kitabu hicho bora kabisa kuhusu “personal development.” Kaa mkao wa kula 🙏