Dunia inakuwa sehemu nzuri sana kuishi endapo upendo utatawala. Na upendo huzalisha watu wema. Kwa bahati mbaya, japo kuwa mwema ni kitu kizuri, kwaweza pia kuzalisha majanga maishani kama navyosimulia katika episode hii kuhusu tukio moja lililobadili kabisa maisha yangu, lililojiri wakati nilipokuwa huko Kitengoni.
© 2022 Evarist Chahali
Substack is the home for great writing