Jinsi 'kutegemea hisani ya watesi' kunavyochangia ukiukwaji endelevu wa haki
Takriban wiki nzima hii kumekuwa na jitihada kubwa za kisheria kushinikiza kupatikana kwa vijana wajana kadhaa ambao hadi sasa haifahamiki wapo wapi japo inahisiwa kuwa wapo mikononi mwa jeshi la polisi.
Hata hivyo, wanasheria waliokuwa wakifuatilia suala hilo mahakamani wakitaka jeshi la polisi liamriwe na mahakama aidha kuwapa dhamana vijana hao au kuwafikisha mahakamani, waligonga mwamba baada ya mahakama kueleza kuwa jeshi la polisi limekana kuwashikilia vijana hao.
TANGAZO
Makala hii inachambua hali ilivyo na kutoa mapendekezo kuhusu nini kifanyike.