Kama kuna mtu aliamini kwamba Bashite alikuwa likizo, na kwamba kurudi kwake baada ya likizo hiyo kungemfanya mnyenyekevu, basi hotuba ya jana ya msema ovyo huyo imeondoa kabisa fikra hizo.
Kuna mambo mawili ya msingi. La kwanza ni ukweli kitendo cha Mama Samia kwenda kumuibua Bashite ili ashike gurudumu la CCM kwenye uenezi ni ishara kwamba Bashite ni m…


