Jarida La Jasusi: Jiunge Leo Na Jarida Hili La Kwanza Duniani Kwa Kiswahili Kuhusu Ujasusi Na Udukuzi

Unakaribishwa kujiunga na jarida hili jipya. Toleo la tatu linachimba kwa kina kuhusu tukio la jana ambapo mlinzi mkuu wa Rais Magufuli alionekana akiwa kwenye sare ya CCM.

Matoleo yaliyopita

Karibuni sana

Ndimi jasusi wako